![]() |
|
Viongozi
wa Mkoa wa Dodoma na Wakimbiza Mwenge kitaifa 2013 kwa pamoja wakiwasalimu
viongozi/Timu ya Mkoa wa Morogoro (haipo pichani) iliyokuja kupokea mwenge
kutoka Mkoa wa Dodoma.
|
![]() |
|
Makamanda
wakiulinda Mwenge wa Uhuru wakati wa kuukabidhi Mkoa wa Morogoro mara baada ya
kumaliza mbio zake kwenye Mkoa wa Dodoma.
|
![]() |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi
(kulia) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera kwa
ajili ya kuukimbiza Mkoani humo.
|








No comments:
Post a Comment