Wednesday, August 12, 2015

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (wa pili kushoto) akitembelea soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, Wengine ni viongozi wa soko hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (katikati) akibadilishana mawazo juu ya changamoto za biashara na wamachinga wa soko la Rehema           Nchimbi Complex wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, wengine ni viongozi wa Wilaya ya Dodoma na viongozi wa soko hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua eneo la vyoo vya soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati alipotembelea soko hilo mapema leo.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwa kwenye Picha ya pamoja na wafanyabiashara wa soko la machinga la Rehema            Nchimbi Complex baada ya kumalizika kwa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, wengine ni viongozi wa Wilaya ya Dodoma.

No comments:

Post a Comment