![]() |
| Watoto Kijiji cha Mkakatika Wilaya ya bahi wakifurahia kuoga kwenye dimwi la maji ambayo si salama kufuatia mvua kuanza kunyesha kwenye wilaya hiyo |
Kunyesha kwa mvua kumeleta shangwe kwa wakazi wengi wakiwemo watoto hali inayopelekea kuona hiyo ni fursa nzuri kwao kufurahia maji.
Mkazi wa Bahi Mkoani Dodoma Pendo Alfonce alisema ni vizuri wazai wakawa makini kwa kuwazuia watoto wao kwenda kuoga kwani mvua zinazonyesha ni chache na maji yanayokjaa kwenye madimbwi pia ng'ombe wamekuwa wakitumia kunywa maji.
![]() |
| Watoto wa Kijiji cha Mkakatika Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wakioga kwente dimbwi la maji machafu. |



No comments:
Post a Comment