Wednesday, November 6, 2013

Mkulima akabidhiwa fungua za trekta la mkopo kutoka NAM ltd

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akimkabidhi funguo ya trekta mkulima Kalanga Ngudong' wakai wa hafla ya kukabidhi kwa wakulima matrekta hayo ya mkopo yaliyotolewa na kampuni ya kusambaza matrekta ya NAM Ltd ya Mjini Dodoma, anayeshuhudia katikati ni mkurugenzi mtendaji wa NAM Ltd Bw. Aspenas Mwaranga, hafla hiyo ilifanyikajuzi mjini Dodoma. Kampuni ya NAM Ltd mjini Dodoma inakopesha matrekta hayo kwa wakulima, jumla ya matrekta matano yenye  thamani ya shilingi 175,000,000/-  yalikopeshwa kwa wakulimaleo hii.

No comments:

Post a Comment