| Baadhi ya washiriki wakiwa makini |
Wanahabari 20
kutoka mikoa ye pembezoni ya Tanzania wanaoendesha mitandao ya
kijamii (Blogu) nchini Tanzania
wameanza kupatiwa mafunzo maalum
ya kuboresha uandishi katika mitandao
hiyo kwa kuzingatia maadili ya
tasnia ya habari nchini.
Washiriki wa mafunzo hayo ni:
Mkoa wa Mwanza
1. Shomari Binda
Blog: www.shommibinda.blogspot.com
2.Pendo Daimon Mwakyembe
Blog:www.darubuni.blogspot.com
Mkoa wa Dodoma
3 .Sifa Lubasi
Blog:dodomamatukio,haiba-urembo
4.Stanslaus Likomawagi
Blog:thevise.blogspot.com
Mkoa wa Mbeya
5. Merali Gasper Chawe
Blog;yangumachomwenyewe.blogspot.com
6.Brandy Nelson Mwinuka
blog:pamojatunawezatz,blogspot.com
Mkoa wa Ruvuma
7.Judith Elidadi Lugoye
Blog Songea habari.blogspot.com
8.Kassian Nyandindi
blog:nyandindi2006.blogspot.com
Mkoa wa Rukwa
9. Franco Nkyandwale
Blog. www.sumbawanakyela.blogspot.Com
10.Judith Simon Ngonyani.
Blog: www.juddyngonyani.blogspot.com
mkoa wa Katavi
11. Gurian Adolf
Blog:rukwakwanza.blogspot.com
12 Sumia Wilbroad
Blog : www.sumiampanda.blogspot.com
Mkoa wa Kigoma
13.Emmanuel Matinde
Blog:jmatinde.blogspot.com
14.Winfrida Bwire
blog:kigomapressclub.blogspot.com
mkoa wa Mara
15.Eva-Sweet . I. Musiba
Blog: eva-sweet.blogspot.com
16. Augustine Boniphace Mgendi
Blog www.mwanawaafrika.blogspot.com
Mkoa wa Iringa
17. Mwaisumbe Tukuswiga
E-mail: jswiga@yahoo.com
Blog Frankleonard.blogspot.com
18 Francis Godwin
Blogwww.francisgodwin.blogspot.com ,www.shwari.com na www.matukiodaima.com
mkoa wa njombe
19 Bazil Makungu
Blog : jamiihuru1.blogspot.com
20. Nickson mahundi
blog:habariludewa.blogspot.com
| Programu ofisa wa TMF akielezea mafunzo na maana yake kwa jamii |
| Programu ofisa akitoa maelekezo kwa washiriki |
| Washiriki wakiendelea na semina |
| Liko akitabasamu wakati wa utambulisho |
| Ni elimu na vitendo si mchezo |
| Mwezeshaji Beda Msimbe akizungumza na washiriki |
| Programu ofisa Sanga akisisitiza jambo |
| Mwezeshaji Mkina akifanya vitu vyake |
| Darasa lililokamilika la watu 20 |
No comments:
Post a Comment